gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
boss leo nimeamini kwamba sisi Gts huwa hatusomi na kumuelewa mtu. huyu AmKATRINA alishaleta nyuzi kibao hapa mpaka za kutaka mchumba na umri akautoa sasa leo anakuja na hili kwann tunamwendekeza? kimsingi tulipaswa kuelewa kwamba she is teasing us.wewe mbona haupo serious?
threads zako zingine unazikumbuka?
binafsi nieambulia kucheka tu kwani leo kaja na stail ya kuchekesha watu humu jamvini.
Last edited by a moderator: