huyu alianzisha hii mada kama ni mwanamke ana laana na aliyemlaani keshakufa na kama ni mwanaume basi ni mwehu. Ila ninamshauri aachane na huu upuuzi kwani anatafuta laana na maradhi tu bure, ndio maana anatafuta kizazi kipya ili aendelee kukimaliza kwani nani asiyemjua kuwa ni mgonjwa wa gonjwa lisilokuwa na tiba, embu afe mwenyewe asijetumalizia wanetu. yaani ameniudhi ningekuwa na uwezo wa kumwona ningemchapa. punguani kabisa.