Nahitaji Mpunga gunia 100

Nahitaji Mpunga gunia 100

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
2,539
Reaction score
758
jamani walio kanda ya ziwa na mbeya bei ya mpunga ni ngapi kwa sasa? nahitaji kama gunia 100 hivi
 
45000 kwa jun?a,mchele k?lo unapata hata kwa tsh 1200.
 
kyela gunia la plastic 10 ni 95000,,,mbalali ni 80000 na 70000 wa low qulity
 
Back
Top Bottom