Nahitaji mpunga kutoka Mlimba/ Morogoro

Nahitaji mpunga kutoka Mlimba/ Morogoro

Mshimba1971

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
75
Reaction score
67
Wadau salaam!

Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm!
 
Wadau salaam!

Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm!
Nenda dakawa,wilaya ya mvomero au mvumi kilosa kuna skim za umwagiliaji Kwa sasa wanavuna mpunga utapata
 
Mlimba ni mbali sana. Sijajua kwanini unataka wa kutokea huko. Kwa gharama za kusafirisha mzigo kutokea huko hadi moro mjini, bora ukanunulie Kilosa au Dakawa
 
Back
Top Bottom