M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 Jun 16, 2022 #1 Wadau salaam! Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm!
Wadau salaam! Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm!
Dr Ahmed Albah-Shahwa JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 848 Reaction score 1,604 Jun 16, 2022 #2 me mwenyewe nahitaj ngoja tucheck wadau waje
N neez JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 214 Reaction score 303 Jun 19, 2022 #3 kulwa1981 said: Wadau salaam! Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm! Click to expand... Nenda dakawa,wilaya ya mvomero au mvumi kilosa kuna skim za umwagiliaji Kwa sasa wanavuna mpunga utapata
kulwa1981 said: Wadau salaam! Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm! Click to expand... Nenda dakawa,wilaya ya mvomero au mvumi kilosa kuna skim za umwagiliaji Kwa sasa wanavuna mpunga utapata
blacksamurai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 387 Reaction score 646 Jun 19, 2022 #4 Mlimba ni mbali sana. Sijajua kwanini unataka wa kutokea huko. Kwa gharama za kusafirisha mzigo kutokea huko hadi moro mjini, bora ukanunulie Kilosa au Dakawa
Mlimba ni mbali sana. Sijajua kwanini unataka wa kutokea huko. Kwa gharama za kusafirisha mzigo kutokea huko hadi moro mjini, bora ukanunulie Kilosa au Dakawa
M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 Jun 20, 2022 Thread starter #5 Nashukru mdau kwa ushauri, nitacheck dakawa na kilosa pia