Dr mwaka au?Wanakuja vuta subra
Mole pregnacy au kwa Kiswahili ni mimba zabibu. Na huwa inatoa BhcG positive lakini si mimba na dalili mbaya mtu akiwa na Mole pregnacy uwezekano wa kupata Cancer ya mfuko wa uzazi ni mkubwa mbele ya safari.Mole pregnancy ndo nn
Kwa mole pregnancy nafikiri Bhcg ingekuwa far too high, na bila evacuation after 2 weeks ingebaki kuwa juu. Most likely ilikuwa abortion. Spotting itaisha once hormone levels zikirudi sawa. Ni vizuri usiconceive angalau kwa miezi 6, ili kufanikisha hilo nashauri ungechagua njia ya uzazi wa mpangoMole pregnacy au kwa Kiswahili ni mimba zabibu. Na huwa inatoa BhcG positive lakini si mimba na dalili mbaya mtu akiwa na Mole pregnacy uwezekano wa kupata Cancer ya mfuko wa uzazi ni mkubwa mbele ya safari.
Na je after two weeks nyingn ukaona siku zako tenainakuajeKwa mole pregnancy nafikiri Bhcg ingekuwa far too high, na bila evacuation after 2 weeks ingebaki kuwa juu. Most likely ilikuwa abortion. Spotting itaisha once hormone levels zikirudi sawa. Ni vizuri usiconceive angalau kwa miezi 6, ili kufanikisha hilo nashauri ungechagua njia ya uzazi wa mpango
Baada ya mimba kutoka, kama vidonge vya uzazi wa mpango havijatumika kurudisha mzunguko, ni kawaida damu kutoka bila mpangilioNa je after two weeks nyingn ukaona siku zako tenainakuaje