vee15
Senior Member
- Aug 8, 2016
- 118
- 55
Nilimiss period after a week nikaanza pata spotting za damu nikaenda hosptali kwa gynecology akanipima BhcG nikaambiwa iko 59.5 means niko pregnant akanishaur nirud kupima tena after twool weeks but ndan ya izo week mbili nikapata siku zangu then zikaisha zikaanza tena spotting nikarud kwa dokta akanipima BhcG ikawa 16 akaniambia inaezekan mimba imetoka ultrasound ikaonesha nina PID akanipa tu dawa sasa natumia dawa but damu bdo intoka matone na dawa ndo zinaisha na sielewi plzzzzz help