Nahitaji msaada, kibamia kinanitesa sana

Kuna rafiki yangu wa kike anapenda wenye vibamia
Vidogo
Nafikiri atakuwa suluhisho lako

Wasifu wake binafsi
Anapenda utani
Hapendi dharau
Anajua kupenda
Mrefu kiasi maji ya bahari mguu chupa
Sura imechongoka kidogo poa ndefu na midomo ya umbo sifuri
Ana umri wa miaka 22
Yupo single
Hapendi siasa
Anapenda kushona na kutarizi mashuka na vitambaa
Siyo mvivu
Amesoma mpaka form4
Ameshika dini kiasi .kristo
Hana majungu majigambo na wivu
Anajituma katika kazi
 
Sasa mbn kama kuna hatari..mfano ukiukata uo mpapai kuna madhara
 
Maana umesema una unga undugu wa damu..na kama ukikua ukafika mahali we umelizika na ukubwa inakuaje?
 
[emoji23] [emoji23] Wengine tunaomba kupunguza wengine wanaomba kuongeza, Dah!!!
 
Mbona si ndogo sana mpaka kikukoseshe amani?
Niliwai kua na mkaka ilikua ndogo zaidi ya hapo na alikua na amani tu! Tulikuja achana kwa mambo mengine ila sio size ya uume wake.
Ulikuwa unaenjoy/ fika kileleni?
 
iv ni kweli kiba100 kinaweza kuongezeka urefu?? Kuna mtu yeyote anaweza kutoa ushuhuda??

Ikiwa sababu ya kiba100 hicho hutokana na mirath za genes (Genetics) kiba100 hicho kitarefukaje??
 
Dah kweli duniani mwenyezi mungu katuumba tofauti wengine tuna ukuni wa ukweli wengine wanalia
 
bora utuachie simba yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…