Nahitaji msaada kuhusu Dawa ya P2

mari mari

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Kwa ma doctar na wanaofahamu zaidi dawa ya p2 huwa inafanya kazi hadi mda gani?

Na kwa mfano umetoka kufanya unprocted sex na ukaimeza baada ya masaa nane ukaanza dozi yake itakuwa inafanya kazi au utakuwa very late .

Please i need your help.
 
hahah,,ushapgwa kibendi meri meri,, hyo p2 nliijulia kwnye nymbo ya "uliza kiatu" haha
 
Si ina maelekezo kwenye kikaratasi soma maelekezo au kaulizie vizuri uliponunulia utapata maelezo mazuri
 
mari mari

P2 unatakiwa umeze kabla ya masaa 72 baada ya kufanya hilo tendo (sex)hivyo yakishapita Hayo masaa haitaweza fanya tena kazi.... hivyo my dear kuwa huru umewah hivyo hakuna chochote kitakachotokea
 
Last edited by a moderator:
hufanya kazi ndan ya masaa 72 baada ya tendo,though kadri masaa yanavyopungua ndivyo ubora wa dawa kiasilimia unapungua kama inavyoainishwa kwenye maelezo yake,but kiufup mimba hutunga ndan ya siku ya 13,14 na 15 toka uanze period,ingawa hushauriwa uache 3 days nyuma kwan sperms huweza kuishi had siku tatu mwilini though asilimia zake huwa ndogo kuishi kutokana na mazingira yetu waafrika,(kazi nyingi ,hali ya hewa,vyakula etc)
 
Mbegu za kiume hustaimili au kuishi kwenye uzazi wa mtoto wa kike kwa siku mbili mpk tatu ambayo ni sawa na masaa 72 kabla mimba haijanza kutungwa. Hizi dawa za p2 kwa ninachokifanya kama umeza baada ya masaa nane toka ulivyotoka kwenye mambo yako uko salama hautashika ujazito kabisa yani inatakiwa umeze ndani ya masaa 72 toka ulivyofanya mambo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…