hufanya kazi ndan ya masaa 72 baada ya tendo,though kadri masaa yanavyopungua ndivyo ubora wa dawa kiasilimia unapungua kama inavyoainishwa kwenye maelezo yake,but kiufup mimba hutunga ndan ya siku ya 13,14 na 15 toka uanze period,ingawa hushauriwa uache 3 days nyuma kwan sperms huweza kuishi had siku tatu mwilini though asilimia zake huwa ndogo kuishi kutokana na mazingira yetu waafrika,(kazi nyingi ,hali ya hewa,vyakula etc)