Nahitaji msaada kuhusu sheria za mirathi

Nahitaji msaada kuhusu sheria za mirathi

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Ni familia ya mke wangu wanahangaika na hii mirathi mpaka leo tangu mwaka jana. Suala ni kwamba watu wa hazina wamesema wameshatuma hundi tangu tr.21/09 kwa hiyo ikishafikia hatua hiyo what comes manake mahakamani wamesema mama aende Posta.
 
N familia ya mke wang wanahangaika na hii mirath mpaka leo tangu mwaka jana ijapo ipo hatua nzur,suala n kwamba watu wa hazina wamesema wameshatuma hund tangu tr.21/09 kwa hiyo ikishafikia hatua hiyo what comes manake mahakaman wamesema maza aende posta

ss kama hazina wamesh2ma hund toka tareh 21, 09, na leo n tareh 01, 09 n nyie 2 ndo mnachelewa lakn hazina wako up dates vbaya aisee!
 
Kwa hapo hazina nimewapongeza kwani wamewahisha lkn ishu yaja maza kaenda mahakamani karani kamwambia aende posta yy mwenyewe kwani hiyo si kazi yao,hapo tu je utaratibu upo hivyo? sijui lolote mkuu,ebu usichoke kunielimisha.
 
Back
Top Bottom