Nahitaji msaada kutoka kwa mtu wa mamlaka za elimu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu?

Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana? sheria inaruhusu?
 
Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu? Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana?
Yupo private au seerikalini? Au ni PC ?
 
Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu? Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana?
Form six wanafanya mtihani mwezi wa tano so atakuwa ameshasajiliwa,ndio anaweza kufanyia home tena atafaulu tu

USSR
 
Akirudi Likizo Asome Tuition amalize topics zote.Halafu akienda Shule uwe mwendo wa kujisomea tu,Mwalimu akiingia au asipoingia isimuathiri chochote.

Hicho anachotaka kufanya kitahatarisha Matokeo yake ya Form Six na mtajuta sana.Ndio maana kukaitwa Shule.

Likizo aitumie vizuri ku cover topics zote Kule Shule akirudi aingie darasani kama kawaida lakini Asome sana awe mbele.Na asikose kuhudhuria vipindi vya practical.
 
Akirudi Likizo Asome Tuition amalize topics zote.Halafu akienda Shule uwe mwendo wa kujisomea tu,Mwalimu akiingia au asipoingia isimuathiri chochote.Hicho anachotaka kufanya kitahatarisha Matokeo yake ya Form Six na mtajuta sana.Ndio maana kukaitwa Shule.
Likizo aitumie vizuri ku cover topics zote Kule Shule akirudi aingie darasani kama kawaida lakini Asome sana awe mbele.Na asikose kuhudhuria vipindi vya practical ....
asante kwa maelezo. swali langu ni je sheria inamruhusu kufanya hivyo kama siyo private candidate? yuko form six pale
 
Form six wanafanya mtihani mwezi wa tano so atakuwa ameshasajiliwa,ndio anaweza kufanyia home tena atafaulu tu

USSR
OK thanks! Lakini nasikia kuna masaa ambayo inabidi uwe darasani....
 
asante kwa maelezo. swali langu ni je sheria inamruhusu kufanya hivyo kama siyo private candidate? yuko form six pale
Labda awe na matatizo ya Kiafya au awe amepewa adhabu.Kukaa nje kunahitaji mwanafunzi mwenye uwezo Mkubwa sana Darasani bila hivyo Mtaenda kupoteza Hela na anaweza zingua....
Halafu huyo kijana wako muulize vizuri pengine ana kibinti nyumbani kakimiss anataka awe nacho Karibu.....
Sorry lakini huyo Bwana mdogo Anasoma Mchepuo gani??
 
sorry ni binti wa rafiki yangu ameniuliza swali hilo nikasema ninavyojua full time student haruhusiwi kutoka nyumbani kama uko boarding schol na kuna masaa ambayo lazim asikilize lectures (sina uhakika lakini miaka ya nyuma ilikuwa hivyo) .
No hana mambo ya wavulana or whatever, sijui kuna nini anyway kusomea nyumbani
 
OK thanks! Lakini nasikia kuna masaa ambayo inabidi uwe darasani....
Uwe darasani huku hakuna mwalimu,mkuu kama ni mwanao chukua rikizo ya mchongo ya matibabu kisha akae nyumbani amalizie topic the school akajisomee na wengine kwa group discussions maana nina uhakika kama shule haina WALIMU sio yeye tu atakaye jiongeza namna hii

Well and good suggestion, Do the laws/school regulations/rules allow such a thing?
 
Back
Top Bottom