eskobas2016
Member
- Jul 14, 2016
- 71
- 31
Hello doctor and wanajamii forum natumaini mko salama kabisa, labda niende straight to the point, mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa nje ya nchi kimasomo, ameludi wiki tatu zilizopita, ila tatizo linakuja kwamba toka ameludi kwanza hana hamu ya kufanya mapenzi nami.
Pili pale ninapomshika sehemu kadhaa ili ajisikie kufanya huwa ana jisikia hamu na tufanya ila huwa anatoka sana damu kama anableed, nikumuuliza anasema hana tatizo lolote, tumeenda kupima kama ana mimba na kukuta hana nikampima HIV nayo hana, hapo sijajua tatizo ni nini.
However nimegundua pia hata maeneo yake ya chini (uke) umekuwa mkubwa sana niki compale na the way alivyokuwa kabla, nilimwambia twende kwa doctor for checking anasema yeye yuko salama kabisa hana tatizo lolote, hapo nikawa na mashaka, Kwa sasa hatujafanya i mean kukutana kwa wiki nzima, na hata hajisikii nami kuchepuka sipendi na tatizo silijui.
Please wadau kama kuna mtu ameshawahi kutana nakitu kama hiki au anajua dawa yake au tatizo nini, nitakuwa na amani sana kulitatua hili tatizo.
Asanteni sana rafiki zangu.