eskobas2016
Member
- Jul 14, 2016
- 71
- 31
- Thread starter
- #41
ohoo sorry dada, hasante kwa ushauriVizuri!!!
Mimi dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ohoo sorry dada, hasante kwa ushauriVizuri!!!
Mimi dada
Hahahhaa sisi wakongo ndo tunaongoza duniani kwa kua na mitalimboAlikuwa anasoma nchi gani? Labda alikutana na matango ya ki-Nigeria
Pole sana mkuu ,, ila soon Ilo tatizo litaisha !! Sema nn Wenda akawa aliabot mimba siku chache ndo akaja uko kwenu so kwa nje amepona ila ndan bado !!.Hello doctor and wanajamii forum natumaini mko salama kabisa, labda niende straight to the point, mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa nje ya nchi kimasomo, ameludi wiki tatu zilizopita, ila tatizo linakuja kwamba toka ameludi kwanza hana hamu ya kufanya mapenzi nami.
Pili pale ninapomshika sehemu kadhaa ili ajisikie kufanya huwa ana jisikia hamu na tufanya ila huwa anatoka sana damu kama anableed, nikumuuliza anasema hana tatizo lolote, tumeenda kupima kama ana mimba na kukuta hana nikampima HIV nayo hana, hapo sijajua tatizo ni nini.
However nimegundua pia hata maeneo yake ya chini (uke) umekuwa mkubwa sana niki compale na the way alivyokuwa kabla, nilimwambia twende kwa doctor for checking anasema yeye yuko salama kabisa hana tatizo lolote, hapo nikawa na mashaka, Kwa sasa hatujafanya i mean kukutana kwa wiki nzima, na hata hajisikii nami kuchepuka sipendi na tatizo silijui.
Please wadau kama kuna mtu ameshawahi kutana nakitu kama hiki au anajua dawa yake au tatizo nini, nitakuwa na amani sana kulitatua hili tatizo.
Asanteni sana rafiki zangu.
hili nalo neno, yawezekana ni kweli ila kujua ndo ngumu na sijui nitajuaje hapoPole sana mkuu ,, ila soon Ilo tatizo litaisha !! Sema nn Wenda akawa aliabot mimba siku chache ndo akaja uko kwenu so kwa nje amepona ila ndan bado !!.
Sasa kama unampenda ,,just assume nijambo lakawaida then songs mbele na maisha ,,lkn mmmh sio kirahis ivo.hili nalo neno, yawezekana ni kweli ila kujua ndo ngumu na sijui nitajuaje hapo
ila issue nitajuaje kama alitoaSasa kama unampenda ,,just assume nijambo lakawaida then songs mbele na maisha ,,lkn mmmh sio kirahis ivo.
Mama marehemu hujambo?mi
mimi nishatoa mimba na HAKUNA hali hiyo akafanye uchunguzi zaidi kwa madspesharist
Sio wote jamani..Duuuuu, pole umepigiwa sana huko nje. Ukweli anaujua fika ila hawezi sema. Hawa hua co waaminifu sijui waliumbwaje?
Ni lini wanaume walikuwa waaminifu? Kutokuwa mwaminifu kuna jinsia? Au basi tu unataka kugeneralize?Duuuuu, pole umepigiwa sana huko nje. Ukweli anaujua fika ila hawezi sema. Hawa hua co waaminifu sijui waliumbwaje?
Si kitu cha kujivunia! Itakutesa maisha yako yote maana umeua!mi
mimi nishatoa mimba na HAKUNA hali hiyo akafanye uchunguzi zaidi kwa madspesharist
Wewe utakuwa umeumizwa sana sikulaumu.Sky Eclat, sikatai ila more than 90% are not faithful. It is so painful watu wengi wameumizwa na hawa viumbe. Hawajali no matter how u toiled towards her success.