Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

Pole sana mkuu ,, ila soon Ilo tatizo litaisha !! Sema nn Wenda akawa aliabot mimba siku chache ndo akaja uko kwenu so kwa nje amepona ila ndan bado !!.
 
Pole sana mkuu ,, ila soon Ilo tatizo litaisha !! Sema nn Wenda akawa aliabot mimba siku chache ndo akaja uko kwenu so kwa nje amepona ila ndan bado !!.
hili nalo neno, yawezekana ni kweli ila kujua ndo ngumu na sijui nitajuaje hapo
 
Walimtumia kutengeneza movie za X, believe me![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Kwa uzoefu wangu huyo mwanamke ametoa mimba karibuni.huoni anagoma kwenda hospital coz anajua alichokifanya ndio maana na uke umekuwa mkubwa.polee mkuu thailand haijawahi muacha mtu salama.
 
Duuuuu, pole umepigiwa sana huko nje. Ukweli anaujua fika ila hawezi sema. Hawa hua co waaminifu sijui waliumbwaje?
Ni lini wanaume walikuwa waaminifu? Kutokuwa mwaminifu kuna jinsia? Au basi tu unataka kugeneralize?
.
.
Mapenzi ya siku hizi hayana uaminifu na ni kwa jinsia zote.
 
Sky Eclat, sikatai ila more than 90% are not faithful. It is so painful watu wengi wameumizwa na hawa viumbe. Hawajali no matter how u toiled towards her success.
Wewe utakuwa umeumizwa sana sikulaumu.
 
Yaan mtu akiishaenda nje ni majanga mara waliwe tigo yaan bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…