Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
Habari wakuu, kuna rafiki yangu wa kiume anataka aanze kusoma kama private candidate, makongo high school, sasa nauliza kama p.c huwa wanapata nafasi za kukaa bweni? Alishajisajili tiali ila alisahau kuuliza kuhusu suala la bweni sasa nimeona niwaulize wadau waliosoma makongo. Natanguliza shukrani.