tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 567
shida gani mkenya kujua njombe na iringa,inaoyesa zile wewe ni mjinga wa kupidukia,Ww ni mkenya nenda kwenye ubalozi wa kenya nchini Tanzania utapata msaada, sbbu maandishi yako2 yanakutambulisha
Ni PMNatarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
Natokea njombe.nazifahamu wilaya zake.sema nduguNatarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.