Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

Umetokea Kigoma ama Ngara.Maana sisi wa Simiyu huwa hatutiliwi mashaka kabisa kuhusu Uraia.
 
Andaa laki 3 utaletewa nyumbani au kwa mama ntilie,wenzio tulikamilisha kila kitu kihalali kabisa ila mpk nilitoa laki ndo wakaitoa
 
Jiongeze mzee scholarship ya nchi gani.
 
Andaa laki 3 utaletewa nyumbani au kwa mama ntilie,wenzio tulikamilisha kila kitu kihalali kabisa ila mpk nilitoa laki ndo wakaitoa
Hiyo ndio tafsiri halisi ya bwege mtozeni. Wakikuona mlugaluga lazima wakukamue. Mimi sikutoa zaidi ya 150k.
 
upo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…