Nahitaji msaada wa haraka sana jamani.

Nahitaji msaada wa haraka sana jamani.

george de hero

Senior Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
122
Reaction score
14
Jamani wanajf nahitaji msaada kwa yule anayeifahamu shule ya ganako high school,mpaka sasa cjapata joining wala cjui iko sehem gan...nisaidieni jamani...nimechoka na maisha ya mtaani.!
 
Kaka ipo wilaya Karatu mkoa wa Arusha upo wapi nikuelekeze namna ya kufika?
 
Back
Top Bottom