Nahitaji msaada wa haraka tafadhali juu ya mzunguko (mp) wa mchumba wangu

SIOMIMI

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
326
Reaction score
66
Habari JF Doctors, nna mchumba wangu ana tatizo kwenye mzunguko wake mara ya kwanza alikua anapata siku zake kwa mzunguko wa siku 28, lakini kwa sasa imechange sana mwezi uliopita alipata mzunguko ndanni ya siku 18 na baada ya kumaliza mzunguko wake amekaa siku kumi (10) ameingia tena bleed, naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
  • Jaribu kumuuliza kama kuna dawa zozote ambazo anatumia, huenda ikawa ni chanzo
 
Kuna mengi ambayo yanaweza kusababisha hiyo hali,, kwanza muulize kama anatumia vidonge vya majira au njia yoyote ya uzazi wa mpango, pili mkapime kuhakikisha hana mimba,, yawezekana kapata inevitable arbotion, also hizo periods zake zipoje,, ni heavy? kwa maana damu nyingi kupita kawaida inatoka? na inatoka kwa muda gani siku 3 au zaidi ya siku 5?? Tatu nawashauri kwenda kwa daktari wa wanawake aliye karibu na mlipo aweze kuwasaidia... All the best!!
 
  • Jaribu kumuuliza kama kuna dawa zozote ambazo anatumia, huenda ikawa ni chanzo
Asante mkuu, nmemuuliza kwa sasa anatumia ni asali tu kwa ajili ya tatizo la moyo
 

Asante mkuu kwa ushauri, vidonge vya majira au njia ya uzazi hajawahi kutumia na kuhusu period sio heavy damu inatoka kawaida na inatoka kwa mda wa siku tatu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…