SIOMIMI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 326
- 66
Habari JF Doctors, nna mchumba wangu ana tatizo kwenye mzunguko wake mara ya kwanza alikua anapata siku zake kwa mzunguko wa siku 28, lakini kwa sasa imechange sana mwezi uliopita alipata mzunguko ndanni ya siku 18 na baada ya kumaliza mzunguko wake amekaa siku kumi (10) ameingia tena bleed, naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.