Naomba ndugu wana JF mnisaidie ni hatua gani naweza kuzifuata za kisheria ili kuweza kumpata mhusika wa mwizi wa laptop ambaye baada ya kuiba laptop alipiga simu na kuomba kiasi cha fedha ili aweze kurudisha laptop hizo .Namba yake ya simu bado inapatikana mpaka sasa naongea naye na anakiri ndo mwenye hizo Mali. Nisharipoti Polisi lakini sijapewa ushirikiano wa kutosha. Naomba msaada wenu. Hatua ipi nifuate