Nahitaji Msaada wa kisheria kumkamata mwizi

Gee kay

Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
15
Reaction score
2
Naomba ndugu wana JF mnisaidie ni hatua gani naweza kuzifuata za kisheria ili kuweza kumpata mhusika wa mwizi wa laptop ambaye baada ya kuiba laptop alipiga simu na kuomba kiasi cha fedha ili aweze kurudisha laptop hizo .Namba yake ya simu bado inapatikana mpaka sasa naongea naye na anakiri ndo mwenye hizo Mali. Nisharipoti Polisi lakini sijapewa ushirikiano wa kutosha. Naomba msaada wenu. Hatua ipi nifuate
 
Nadhani??? waone TCRA na mtandao unaoupiga wanaweza ku-trace (of course with police help) mtu huyo yuko wapi. After all most likely namba yake iko registered (nakumbuka yule mwanamume aliyemuiba mtoto eti hajalipwa mshahara wake walimkamatia Korogwe kwa njia ya ku-trace simu na alikutwa anaongea na simu as usual. I am not sure if this will work.
 
TCRA nishawaona wanadai Polisi ndo wawapelekee taarifa lakini bado hawajapewa
 
Back
Top Bottom