sagaciR
JF-Expert Member
- Jun 17, 2017
- 644
- 878
Mkuu, citation ya hiyo case ya Cleophance iweke kitaaluma na itapendeza km utaweka Judgment/Ruling hapa (PDF/WORD) km ambavyo Dragon hufanya.Well, ili uweze kulitatua tatizo hili hasa kwa wanasheria wenzangu hapo juu kama mlivyokua mnabishana, mnapaswa kwanza kujua ukomo wa uanafunzi ni upi, sheria gani inayohusika na matatizo ya kimahusiano na ndoa kwa wanafunzi,,, pili nakataa kabisa maoni ya mwanasheria mmoja hapo juu aliesema kua hii ni kesi ya ubakaji, hapana sio kweli, japo moja ya counts inaweza kua hio statutory rape, lakini maswalq haya tayari yameshazungumziwa kwenye sheria yake specific kabisaa.
Nikirejea kesi ya jamhuri dhidi ya emmanuel. Cleophance ya 2017 unreported, mahakama ilisema ukomo wa uanafunzi ufika pale siku ya mwisho ya matokeo ya necta taifa yakitoka bila kujali mtu uyo ataendelea au lah, na uanafunzi unatambulika pale mtu uyo anaposajiliwa rasmi ktk shule husika.... Ndugu mwenye kesi, je uyo dada aliepewa mimba huo mwaka alikua amesajiliwa na shule husika? Alisajiliwa vp kuendelea na form 5 wakat hakua na sifa zozote za kusoma kidato icho? Basi ni wazi hakua mwanafunzi kisheria, na hili naliweka wazi kua serikali chini ya wizara ya elimu haitambui form 5 ya mtu anaesoma huku ana risit, ivyo basi nafunga hesabu yangu kwamba hakukua na kosa lolote mbele ya macho ya sheria wakati wa mahusiano yao watu hao, lakini pia wote wanaonekana kua na above 20's so hata statutory rape haipo hapo.... Sheria ya elimu namba 353 ndio inayohusika na kesi hii.
Hakuna kesi yoyote hapo.
Thanks!!.