Nahitaji msaada wa kisheria

Nahitaji msaada wa kisheria

Tanaluza

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
212
Reaction score
121
Habari

Mimi ni binti ninayesoma katika taasisi ya elimu ya watu wazima. Nimekuwa nikisumbuliwa kuhusu matokeo yangu ambayo yalikosewa kwa makusudi na muhusika wa examination room.

Kisa chenyewe kipo hivi. Kila mwisho wa semester huwa tunapewa matokeo yote ya masomo tuliyofanya katika kipindi chote cha masomo kwa semester hiyo. Mimi nilifanya masomo mengi tu baada ya matokeo kutoka nikakuta somo moja nimeandikiwa incomplete. Baada ya kumfata mwalimu wa somo na kuuliza sababu ya kuniandikia vile alisema matokeo yangu yalikosewa kwani nilifaulu hivyo basi niwasilishe tatizo langu kwa muhusika wa examination room.

Baada ya kuwasilisha tatizo langu kwa muhusika wa examination room, nilichokutana nacho niliambiwa sikufanya mtihani wa mwisho wakati ukweli nilifanya mtihani wa mwisho na hata kwenye attendance register nilisign in and out. Mtu wa examination room ambaye ndiye aliyesababisha kukosea matokeo yangu amekuwa akiniita ofisini kwake na kunikalisha zaidi ya masaa 5 hasa wakati wa vipindi akidai anataka kunirekebishia matokeo yangu lkn asifanye hivyo na matokeo kubaki vile vile.

Nimejaribu kufanya mawasiliano na uongozi wa juu wa chuo kushughulikia matatizo haya na barua zote nimeandika lkn mpaka leo zimepita semester mbili bila mafanikio. Kilichoniuma zaidi juzi nilipoenda kuulizia tatizo solution ya tatizo langu juu ya matokeo hayo mtu huyu wa examination room amenitukana na kuniambia hata niende kumwita nani hawezi kubadilisha matokeo yangu mpaka atakapoamua yeye. Ndugu zangu naomba msaada wa kisheria maana nanyanyasika kutafuta haki yangu.
 
nenda na simu yako kws exam officer... msumbue atukane/aongee umrekodi nadhani utakuwa ushahidi mzuri kabisa
 
upo chuo gani ?
 
Tafuta wakili dada yangu akuandikie Demand notice uwapelekee wahusika labda watashtuka...
 
Pole sana kwa ishu yako, ni kweli watu wanaohusika na ku-compile matokeo huwa wanakosea kuweka grades za matokeo kwa sababu wanazozijua wao.
Hii ishu yako inaweza kutatuliwa kiutawala (ndani ya chuo), kama kila kitu kipo sawa kwa maana ya hiyo register uliyosaini ipo, mwalimu wa somo yupo na anakiri wewe kufanya mtihani na kufaulu...andika barua za kiutawala kwa makamu mkuu wa chuo mambo ya elimu ukimueleza kuhusu hilo na ubaki na nakala yako, fuatilia majibu na hakikisha wanakujibu kwa barua pia. Ikiwa majibu ya huyo mkuu yatakuwa sio ya kuridhisha au ni ya kuridhisha lakini hayatekelezwi na mhusika, toa ripoti tena na nakala ziende kwa uongozi wa chuo (mkuu wa chuo, mkuu wa fakati yako nk)..isiposovika basi hapo itabidi uanze kufikiri kuhusu mahakama lakini kwanza hakikisha jambo hilo limeripotiwa kiutawala kwanza.
 
Back
Top Bottom