Habari
Mimi ni binti ninayesoma katika taasisi ya elimu ya watu wazima. Nimekuwa nikisumbuliwa kuhusu matokeo yangu ambayo yalikosewa kwa makusudi na muhusika wa examination room.
Kisa chenyewe kipo hivi. Kila mwisho wa semester huwa tunapewa matokeo yote ya masomo tuliyofanya katika kipindi chote cha masomo kwa semester hiyo. Mimi nilifanya masomo mengi tu baada ya matokeo kutoka nikakuta somo moja nimeandikiwa incomplete. Baada ya kumfata mwalimu wa somo na kuuliza sababu ya kuniandikia vile alisema matokeo yangu yalikosewa kwani nilifaulu hivyo basi niwasilishe tatizo langu kwa muhusika wa examination room.
Baada ya kuwasilisha tatizo langu kwa muhusika wa examination room, nilichokutana nacho niliambiwa sikufanya mtihani wa mwisho wakati ukweli nilifanya mtihani wa mwisho na hata kwenye attendance register nilisign in and out. Mtu wa examination room ambaye ndiye aliyesababisha kukosea matokeo yangu amekuwa akiniita ofisini kwake na kunikalisha zaidi ya masaa 5 hasa wakati wa vipindi akidai anataka kunirekebishia matokeo yangu lkn asifanye hivyo na matokeo kubaki vile vile.
Nimejaribu kufanya mawasiliano na uongozi wa juu wa chuo kushughulikia matatizo haya na barua zote nimeandika lkn mpaka leo zimepita semester mbili bila mafanikio. Kilichoniuma zaidi juzi nilipoenda kuulizia tatizo solution ya tatizo langu juu ya matokeo hayo mtu huyu wa examination room amenitukana na kuniambia hata niende kumwita nani hawezi kubadilisha matokeo yangu mpaka atakapoamua yeye. Ndugu zangu naomba msaada wa kisheria maana nanyanyasika kutafuta haki yangu.