Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Yaan n hivi: nipo na jamaa tunashea kwenye biashara ya kukopesha pesa kwa liba. Alikuja dada mmoja anaitwa Tatu aliwaleta wenzake wawili wanaoitwa Juliana na mwajuma kwa lengo la kutaka hela sh. 4.5mil.
Itabidi niende nao mbele ya wakili kwenda kuandikishiana wakaleta na hati ya nyumba.
Baadae ikaanza kuleta usumbufu kwenye marejesho, ikabidi wakili atupe go ahead ya kuuza nyumba.
Baadae nikaja kugundua kuwa ile hati iliyoletwa na juliana na mwajuma pamoja na Shahid yao Tatu sio yao.
Yaan wao kumbe hawana hata nyumba, na ile nyumba wanaishi watu wengne kabisa. Inaonyesha hao kuna namna waliiba hyo hati ya nyumba.
Kibaya zaidi mwajuma na juliana sijawaona tena tangu wachukue ile hela ila shaidi wao Tatu ambaye ndiye aliye waleta kwangu yupo japo ananikwepa lakn uwezo wa kumnyaka naweza.
Sasa hapo naweza kumfungulia kesi gani? Madai au jinai? Na ikiwa upande wa madai itakuwa hasara kwangu.
Nawasilisha