Nahitaji msaada wa kisheria

Nahitaji msaada wa kisheria

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,213
Reaction score
13,253
Yaan n hivi: nipo na jamaa tunashea kwenye biashara ya kukopesha pesa kwa liba. Alikuja dada mmoja anaitwa Tatu aliwaleta wenzake wawili wanaoitwa Juliana na mwajuma kwa lengo la kutaka hela sh. 4.5mil.

Itabidi niende nao mbele ya wakili kwenda kuandikishiana wakaleta na hati ya nyumba.

Baadae ikaanza kuleta usumbufu kwenye marejesho, ikabidi wakili atupe go ahead ya kuuza nyumba.
Baadae nikaja kugundua kuwa ile hati iliyoletwa na juliana na mwajuma pamoja na Shahid yao Tatu sio yao.

Yaan wao kumbe hawana hata nyumba, na ile nyumba wanaishi watu wengne kabisa. Inaonyesha hao kuna namna waliiba hyo hati ya nyumba.

Kibaya zaidi mwajuma na juliana sijawaona tena tangu wachukue ile hela ila shaidi wao Tatu ambaye ndiye aliye waleta kwangu yupo japo ananikwepa lakn uwezo wa kumnyaka naweza.

Sasa hapo naweza kumfungulia kesi gani? Madai au jinai? Na ikiwa upande wa madai itakuwa hasara kwangu.

Nawasilisha
 
cc nameless girl na mnaoijua sheria wote mkuje hapa tafadhar
 
Last edited by a moderator:
Fungua ya madai,mbele ya safari ikigundulika wamefanya uhalifu mbali ya hizo pesa walizochukua watafunguliwa kesi ya jinai,lakini ukianza na mambo ya jinai utazunguka hadi kuja kufika kwenye madai umekoma😛ray2:
 
naskushuru mkuu
 
ndo hivyo ndugu,kwa nini hukufanya utafiti wa kina wa hiyo hati kabla hujawapa pesa?

si unajua mazoea ndg. Nilijua ndio wale wastaarabu maana kuna watu tunawapa zaidi ya hizo lakn wanarejesha bila shida na yule alivyoleta hati ya nyumba tukajua hakuna shida
 
si unajua mazoea ndg. Nilijua ndio wale wastaarabu maana kuna watu tunawapa zaidi ya hizo lakn wanarejesha bila shida na yule alivyoleta hati ya nyumba tukajua hakuna shida

Una leseni ya kufanya biashara ya kukopesha?
 
Back
Top Bottom