Nahitaji msaada wa kiushauri- wapi naweza kupata Shrink Dar es Salaam

Nahitaji msaada wa kiushauri- wapi naweza kupata Shrink Dar es Salaam

mkazi

Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
24
Reaction score
10
Salam,

kwa muda mrefu nimekuwa nasumbuliwa na matatizo ya binafsi,na nimekuwa nahitaji ushauri wa kitaalam,pia kuwe na confidentaiality katika huduma hiyo,hivyo siwezi kuwaomba ushauri watu ninaowafahamu kwani kunaweza kuwa na conflict of interest.,bahati mbaya sifahamu wapi ninaweza kupata huduma hii kwa dar es salaam.

Wapi naweza kupata huduma ya counselling/pyschiatrist?nani anamfahamu psychiatrist mzuri kwa hapa dar es alaam?gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani?

kwa anayefahamu naomba namba ya simu/anuani au jina la mtaalamu husika,ili niweze kufuata kwa huduma hii.
 
Hawa wadudu naona bongo hawapo. Nishawahi kuulizia sana huduma hii humu jf sijawahi pasta jibu. Naona dawa ni kwenda kusomea tu ili nianzishe huduma hii, manake hakuna wataalam.
 
Back
Top Bottom