Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

Mimi nina ndugu yangu ana miaka 6 anaumwa. Hawezi kutembea. Alianza kuumwa akiwa na miaka 24. Hospitali zote kaenda hawajui anaumwa nini. Wachungaji na mashehe karibia anawamaliza. Yaani shida tupu.
Ukipata tiba niambie. Mwamposa ni laghai mashuhuri

Siendi kwa ibada yeyote tena. I believe in fighting fire with fire. Hivi tuseme wale washuhuda wa mwamposa ni fake na wamepangwa?
 

Ulifanikiwa?
 
Bado, lakini kuna wataalam kama wawili ambao wanakaa kweli kwani wamenambia hawatoi majini lakini wanatibu vinginevyo. Laiti wengine wangerahisisha mambo hivo, lakini pesa ni sumu
 
Nimeuliza sana pale FB, nimepata mwingine mabibo nitaenda nkipata time

Amesema anaweza
 
Kama huna IMANI hata uzunguke kwa wachungaji dunia nzima huwezi pona

Imani huja kwa kusikia na kusikia huja kwa neno la MUNGU

Imani bila matendo imekufa nafsini mwake
 
Basi ikae, kwani washuhuda pia walisema walivyokosa imani lakini wakasaidika. Imani ni scam, kama mhubiri hana nguvu, atejitetea huna imani. Mbona nisipone kabla, na hapo imani yangu itakuja na hitobabaika kamwe?
 
Biblia inasema juu ya yule mtu aliyekuwa hajiwezi anakaa karibu na kisima cha Bethzatha kwa miaka 38 alikuwa anasubiri mtu wa kumtia birikani

Ukisoma Yohana 5:6-7 YESU anamuuliza wataka kuwa mzima?

Yule mtu akajibu mimi sina mtu wa kunitia birikani, inapofika wakati wa kuja mimi mtu huja mbele yangu...

Sasa wewe huna tofauti na mtu huyo umekalia lawama kulaumu watumishi wa MUNGU, YESU ameshakwambia unataka kupona muangalie yeye achana na kulaumu na kuangalia watumishi...
 
amina mtumishi, umeongea kiufunuo kabisa.


JESUS IS LORD
 
Iko hivi,ufalme wa Mungu una rules zake,ili uweze kupokea kutoka kwa Mungu ni lazima uziishi hizo rules,sasa wengi wanataka kuombewa ili wapone halafu waendelee na maisha yao ya dhambi,wakati dhambi ndio inafungua milango kwa hayo mapepo kukuingia na kukutesa.Kuamini Mungu ni one thing ,lakini kumuishi Mungu ni kitu kingine,sasa hapo kwenye kumuishi yeye ndio wengi wanafail,anataka akishaombewa aendelee na maisha yake ya kawaida,kifupi ni kuwa hautakuwa salama mpaka uamue kuziishi sheria zake...
 
Ukipata tiba niambie. Mwamposa ni laghai mashuhuri

Siendi kwa ibada yeyote tena. I believe in fighting fire with fire. Hivi tuseme wale washuhuda wa mwamposa ni fake na wamepangwa?
Ndio wanahangaika. Ni shida sana haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…