Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

Sioni hilo kama ni possible. Kwa mungu kulifeli.

Pia yayo hayo majini yalitoa kejeli kuwa sina mungu during that period. hii i suspected ilikua ni order ya aliyezituma kwani nilingamua majini husoma akili zako zote hata memories, including vitu hungewai kumbuka. ni kama alijua nimeegemea kwa Mungu akaziambia vitu vya kusema.

Pastor walishindwa
We umeenda kwa pastor gani? Kwanza kabisa kinacholeta uponyaji ni imani yako. Kama imani huna hata uende kwa mganga utakua umefeli. Mganga hawezi toa jini analipoza tu. Njoo kanisani kwetu nione ni jini gani hilo linaloshindikana. Manake hatujawah kuwa na mtu mwenye ishu kama hizo akaondoka na shida zake.
 
Kanisa lenu linaitwaje ?!..na liko wapi ?!
We umeenda kwa pastor gani? Kwanza kabisa kinacholeta uponyaji ni imani yako. Kama imani huna hata uende kwa mganga utakua umefeli. Mganga hawezi toa jini analipoza tu. Njoo kanisani kwetu nione ni jini gani hilo linaloshindikana. Manake hatujawah kuwa na mtu mwenye ishu kama hizo akaondoka na shida zake.
 
Izo mambo si zielewi sana ila kuna mtu namuhisi kabisa
kama majini hayo yanakuongelesha na vitu specific hawa watu wanajua, unaweza kuvichanganya mpaka uhakikishie kweli ni huyu kakutumia.

huwa yanakuambia nini haswa?
 
Wadau, if you didn't believe uchawi is real, I've been a victim.

What I've seen, and has been done to me by malicious people would anger any sane person.

The good thing is that I got to realize who actually intended to hurt and destroy me. The problem ni how to replicate kitu nilifanyiwa. I'm really looking forward to avenge stuff kama kufanyiwa mikono paralyzation, going sleepless for consecutive nights, untold thirst, physical pain, weird dreams, and other terrible shit, without a reason.

I've tried seeking for some traditional specialist, cuz nikama kuna majini hunifuata everywhere I go, incessantly talking to me (even as I type this, they are going nuts - it got to a point where I figured they rely on how you think, so that they can "talk"). I've heard that they remove those jinis from someone, if that's actually what was done to me. Or if it's that they are around me but not in me.

My purpose is for your help if anyone has ever heard an actual real traditional healer who deals with such stuff. I also wouldn't mind a mganga who would help me obtain vengeance. These people tried to literally kill me, so I'm hurting for teaching them a lesson, given that they want to destroy me without any reason.

I was even stupid enough before to think that my lack of belief in witchcraft would stop it from happening to me. No pastor has succeeded so far, I even stopped believing in God. Fraudulent traditional healers failed too. So this is like a last shot at this, trying to find one, or some help.

If you do give a hoot about justice, help a brother out.
only prayers
 
Mtajie mchungaji ili aende akaombewe.
Pole,hali kama hiob ilimtokeaga mtu wa karbu yangu ndo nikaja amini haya mambo yapo, mana alkua anasikia/anawasikia wanavyoongea na kila anachotaka kufanya lazima wakizungumzie, cha kufanya..usje enda kwa mganga wa kienyeji..huko ndo utapotea njia vzur sana..huyo jamaa wangu alienda kwa mganga..kidogo afe..na nazan aljikuta kaenda kwa mganga weak kuliko hao jamaa. Hata alpoenda kwa waganga wengne aliwaskia mara 100 zaidi na hakuweza kulala for consecutive 7 days..tukaenda hospital achomwe sindano ya kulala..akawa analala kwa saa moja tu maxmum..anaamka na hio sindano inakua haimsaidii..,tuliachana na hawa wachungaj inactive ..tukaenda kwa mchungaj anayejua kuombea vzur..ilchukua saa moja tu hiv..kaombewa,katolewa mapepo na tangia siku hio hajawasikia tena..so my brother..tafuta mchungaj sahihi..usiende kwa bora mchungaj tu. Lastly usiende kwa mganga...huko ni hao jamaa wanakulengesha ili uingie kwenye timing vzur..uspende
 
Ni rahisi sana..ukipata mtu sahihi akajuelimisha nini cha kufanya na kukurudishia confident uliyokuwa umepoteza..hivyo vitakataka utavishinda asubuhi...nimepitia makubwa sana ya kutisha..sijawahi na sitawahi kwenda sijui mchungaji nabii......ninasali mwenyewe ..na nimewashauri wengi namna na aina ya sala dhidi ya hayo ...walifanikiwa kuanzia day one...shetani si lolote ukitambua utajua hana uwezo wowote zaidi ya kutisha..na kusumbua Watu...big up.
Hivi unamjua Shetani vizuri wewe? Muulize Mungu aliye muumba. Shetani siyo wa mchezo Kama unavyosema si chochote si lolote.

Hata ukiwa mtakatifu wa kiwango chote, Shetani anao uwezo wa kutwaa uhai wako na kukupa mateso makubwa Sana.

Muulize Ayubu. Mungu alimsihi Shetani asiutwae uhai wake Ila aishie kumjaribu na mapigo mengine.

Kama Shetani angekuwa leledada, achilia mbali mama, Mungu aaingemsihi asiutwae uhai wa AYUBU. Tuielewe Biblia vizuri.

Kikubwa tumuombe Mungu tu.
 
kama majini hayo yanakuongelesha na vitu specific hawa watu wanajua, unaweza kuvichanganya mpaka uhakikishie kweli ni huyu kakutumia.

huwa yanakuambia nini haswa?
Nasikia miguno ya sex ya wife. Saivi niko mbali nae kidogo
 
Mimi nataka mchawi au mtu ambaye and majini kuna mtu kanikwanza nataka kumshikisha adabu
 
Mkuu naomba unifiate pm ninashoda nawewe
Ushauri wangu ...
Kama upo Dar nenda pale msikiti wa Tungi/temeke na umuulizie mtu mmoja anaitwa DARWESH/MUBA .ofisi yake ipo maeneo hayo hayo..
Kwa Hilo tatizo lako biidhillah litatatulika na wataomba kuondoka wenyewe.

Note: usidharau nenda mkuu ...utakuja kunishukuru na ujipange kigharama pia...
[/QUOTE]
 
Bro pole sana kwa matatizo... Nakushauri mambo mawili, kama imani ipo fanya uwaone watu wa dini ila kama huna watafute wataalam (waganga) wanaoweza kukuunganisha na ancestors wako wakupe muongozo wa kupambana na hao wabaya
 
It give two shilling is go the witch doctor is say. I can do or I can not do? I can do. Okey is wait or not waiting tomorrow? Is do perfection well. I am correct?
 
Wewe ndo umepotea mkuu!! Hayo mambo ya kumtegemea mungu yana wenyewe! Amekwambia hakuna mchungaji alie faulu pia imani yake kwa hayo maswala ya kimungu imepotea we unamwambia at aendelee kumuamini et atapona! Nimeona watu wengi wa mawazo yako wakiteseka kwa mda mrefu xana na wengine hufikia mpaka kifo kwa matatizo ambayo mengine huweza tatulika kwa akili tu za kibinadamu na njia nyingine nyingine! Kiukwel mungu wao huwa sijui hawaoni wakiteseka maana huwa wanateseka xana!

Axa mtu unakuta kapatwa na tatizo akiwa angali kijana tuseme kwenye umri wa miaka 25 kwa kumtegemea kwake mungu kama mkombozi wa matatizo yake unakuta anagotta 70 still bado ana lilelile tatizo linamsumbua kwa umri kama huu! Anakuwa ame expire maana hawezi fanya mambo kama vijana wafanyavyo hata endapi akipona katika umri huu hakutakuwa na maana yeyote maana bado ataendelea kuwa tegemezi. Sasa unakuja kujiuliza iv huyu mtu angelikwenda kutumia njia flani ya utatuzi wa tatizo tangu alipokumbwa na hili si angekuwa kesha pona wakati alipokuwa kijana?

Na mpaka sasa angekuwa kesha fanya mambo mengi sana katika ujana wake ikiwamo maendeleo ya kimaisha xaxa huku uzeeni mungu anaemwabudu alikusudia kitu gani kumponya wakati huu!? Wakati huo huo biblia inasema yeye ni wa kututakia mema siku zote. My point ni kwamba mwache kamanda aendelee fightia njia mbadala kutatua tatizo na naamini atafanikiwa tu.
Mimi nina ndugu yangu ana miaka 6 anaumwa. Hawezi kutembea. Alianza kuumwa akiwa na miaka 24. Hospitali zote kaenda hawajui anaumwa nini. Wachungaji na mashehe karibia anawamaliza. Yaani shida tupu.
 
Back
Top Bottom