majini hawajui chochote
niljaribu kuongea lugha isiyoijua, na vikaanza kuniiga, kazi yao kuiga. vinafyonza all your memories/knowledge na kutumia hivo kukusumbua. pia vinaongea tu vitu ninavyovijua, ni kama mwanafunzi asiyejua lolote shuleni kazi yake kuibia mawazo ya wengine. Hivo ndivo yao hufanya, au kulazimishwa cha kufanya na aliyevituma. pia kucopy bila kupenda, so nilitambua ni very simple invisible beings. kwa mfano niliwahi pigana na mtu fulani akaniumiza jicho. baada ya kupona jicho, vilikua vinarudia nilivokua nahisi katika macho yote, huku vikiclaim ni hivo vinafanya uchungu huo.
baada ya mimi kugundua yanategemea ubongo wa binadamu kupayuka, inakua rahisi kuvikanganya, ila shida ni kuviondoa tu. siku hizi, ikiewemo leo ni kutumwa viibe usingizi
anavosema
Edward Teller kumhusu rafikiye ni kweli. wachungaji nashangaa kuwahusu sasa, kwani wakati walishindwa ilikua kama mockery yakisema sina hata mungu, hivi nishaanza kushuku kama vilikua vishahofia. other than that, madharau ninayoendelea kufanyiwa lazima nilipize kisasi, waganga wa hapa kenya walaghai ingawa wale wa kweli wengi kuliko matapeli huku kwenu.