Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Beluwa Samahani sana lakini kwa lugha unayomwaga humu, wewe unaonyesha ni mtu muelewa usiyestahili kuamini mambo hizi kwa Umerogwa.Wadau, if you didn't believe uchawi is real, I've been a victim.
What I've seen, and has been done to me by malicious assholes would anger any sane person.
The good thing is that I got to realize who actually intended to hurt and destroy me. The problem ni how to replicate kitu nilifanyiwa. I'm really looking forward to avenge stuff kama kufanyiwa mikono paralyzation, going sleepless for consecutive nights, untold thirst, physical pain, weird dreams, and other terrible shit, without a reason.
I've tried seeking for some traditional specialist, cuz nikama kuna majini hunifuata everywhere I go, incessantly talking to me (even as I type this, they are going nuts - it got to a point where I figured they rely on how you think, so that they can "talk"). I've heard that they remove those jinis from someone, if that's actually what was done to me. Or if it's that they are around me but not in me.
My purpose is for your help if anyone has ever heard an actual real traditional healer who deals with such stuff. I also wouldn't mind a mganga who would help me obtain vengeance. These people tried to literally kill me, so I'm hurting for teaching them a lesson, given that they want to destroy me without any reason.
I was even stupid enough before to think that my lack of belief in witchcraft would stop it from happening to me. No pastor has succeeded so far, I even stopped believing in God. Fraudulent traditional healers failed too. So this is like a last shot at this, trying to find one, or some help.
If you do give a hoot about justice, help a brother out.
Story za uchawi zinanoga zikielezewa kwa kiswahili... Usijifanye harry porter
Ni rahisi sana..ukipata mtu sahihi akajuelimisha nini cha kufanya na kukurudishia confident uliyokuwa umepoteza..hivyo vitakataka utavishinda asubuhi...nimepitia makubwa sana ya kutisha..sijawahi na sitawahi kwenda sijui mchungaji nabii......ninasali mwenyewe ..na nimewashauri wengi namna na aina ya sala dhidi ya hayo ...walifanikiwa kuanzia day one...shetani si lolote ukitambua utajua hana uwezo wowote zaidi ya kutisha..na kusumbua Watu...big up.Haya mambo nayaongelea kwa experience situation kama yake na mimi ilinikuta mwaka jana ........kwenda kwa wachungaji haisaidii kama wewe mwenyewe ndani Imani imekufa......hata mimi tulizunguka huko kwa wachungaji karibia wote walishindwa na hio ni kutokana na mimi mwenyewe sikua mtu wa imani kabisa.........kabla ya hilo tukio hata kwenda kanisani ilikua kwa shida........baadae nikapata muamko kutoka ndani yangu mwenyewe na wala sio kwenda kwa wachungaji.......mimi ni mkatoliki nikaanza rozali kila siku na novena baadhi ya siku na nilikua nasali kutoka moyoni kabisa nikiamini....baada ya muda mambo yakaanza kukaa sawa na pia inabidi uweze ku control mawazo yako sana usifikirie mavitu negative kwa sana mda mwingi jaribu kujiweka katika hali ya kua positive maana kama alivyosema namna unavyowaza ndo hayo majini pia unaweza ukayaongezea nguvu ama kuyapunguza......mimi nilitupiwa majini mwaka jana kwa ugomvi tu wa kwenye biashara na mpaka nikawa sawa sikumjua mganga yeyote
Nakuomba ndugu kama upo serious njoo pm..nataka tupeane mawasiliano niongee na wewe..nikuelekeze cha kufanya mwenyewe..nilisha hakikishasio mojawapo ya hayo yote
nishajua ninani ila cha kutatanisha hatujawahi kua na physical contact naye. yeye kayatuma mapepo tu
fafanueni hilo la kitimoto
Nina pitia kipindi kigumu kama chako, tena kwa mwanamke nilie mtolea mahari.Haya mambo nayaongelea kwa experience situation kama yake na mimi ilinikuta mwaka jana ........kwenda kwa wachungaji haisaidii kama wewe mwenyewe ndani Imani imekufa......hata mimi tulizunguka huko kwa wachungaji karibia wote walishindwa na hio ni kutokana na mimi mwenyewe sikua mtu wa imani kabisa.........kabla ya hilo tukio hata kwenda kanisani ilikua kwa shida........baadae nikapata muamko kutoka ndani yangu mwenyewe na wala sio kwenda kwa wachungaji.......mimi ni mkatoliki nikaanza rozali kila siku na novena baadhi ya siku na nilikua nasali kutoka moyoni kabisa nikiamini....baada ya muda mambo yakaanza kukaa sawa na pia inabidi uweze ku control mawazo yako sana usifikirie mavitu negative kwa sana mda mwingi jaribu kujiweka katika hali ya kua positive maana kama alivyosema namna unavyowaza ndo hayo majini pia unaweza ukayaongezea nguvu ama kuyapunguza......mimi nilitupiwa majini mwaka jana kwa ugomvi tu wa kwenye biashara na mpaka nikawa sawa sikumjua mganga yeyote
Nime meza dawa sana ila hakuna matokeo.Mkuu nenda kumuona Psychiatrist , ni moja wapo ya option, seeing or hearing things that don't exist ni dalili ya mental illness...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukipuliza bangi, uku una stress za ajila hii ndo lugha unayoandika, pole Mkuu.
Shetani ana kutisha tena una weza jinyonga. Mimi nilikua nahisi mikono ina tembea mwilini alafu ina bonyeza sehemu ya moyo basi moyo unaenda mbio sana na nahisi hofu ila nika jaribu ku ignore, swala ni kukosa usingizi tu ndo shidaNi rahisi sana..ukipata mtu sahihi akajuelimisha nini cha kufanya na kukurudishia confident uliyokuwa umepoteza..hivyo vitakataka utavishinda asubuhi...nimepitia makubwa sana ya kutisha..sijawahi na sitawahi kwenda sijui mchungaji nabii......ninasali mwenyewe ..na nimewashauri wengi namna na aina ya sala dhidi ya hayo ...walifanikiwa kuanzia day one...shetani si lolote ukitambua utajua hana uwezo wowote zaidi ya kutisha..na kusumbua Watu...big up.
Chumvi haifanyi kitu kama jini kakuingia atatoka utaishi nae ndani. Ukiacha chumvi anakuvaa tena.Tiba yetu ni ile ile very simple but very Powerful
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
Yaani shetani amtoe shetani mwenzie?! Uliona wapi?kitakachofanyika wataangalia aliyekufanyia hayo ana nguvu ipi,then unapewa majini yenye nguvu zaidi ili kuyanyamazisha yaliyopo!
Trust me! Utashangaa tatizo baada ya muda fulani linarudi!
Only Jesus can save you!
JESUS IS LORD[emoji120]
...Comrade Fereke, si ungeyaweka hayo wazi hapa ili wanaJF wenye Shida zao wafaidike? Ama wrote had I waje PM??Nakuomba ndugu kama upo serious njoo pm..nataka tupeane mawasiliano niongee na wewe..nikuelekeze cha kufanya mwenyewe..
Nimepitia magumu na kuwashauri waliopo kwenye magumu zaidi ya hayo.
Uganga ni kupoteza muda...wachungaji sijui nini...mmmh utahangaika sana...sijui imani yako ila nitakayokuelekeza na mimi nitaanza aina ya hizo sala mara tuu ukielewa..usipoteze fedha hata mia...Huruma ya Mungu ni buree daima.
Sioni hilo kama ni possible. Kwa mungu kulifeli.
Pia yayo hayo majini yalitoa kejeli kuwa sina mungu during that period. hii i suspected ilikua ni order ya aliyezituma kwani nilingamua majini husoma akili zako zote hata memories, including vitu hungewai kumbuka. ni kama alijua nimeegemea kwa Mungu akaziambia vitu vya kusema.
Kuhusu majini kukutolea kejeli kwamba huna Mungu wala isikutishe. Ukweli ni kwamba kweli huna Mungu ndani yako ndo maana yamekaa kwako. Majini hayawezi kukaa kwa mtu ambaye anamwamini Mungu na kufanya yale yanayompendeza Mungu kupitia Yesu kristo. Never ever. Hapo yalikwambia ukweli kabisa, sema ukweli unauma ndo maana ukaona kwa Mungu hutapata msaada na sasa unataka kwenda huko huko kwenye nguvu za giza ili uendelee kuwa agent wa shetani. Hivi unafikiri huko unakotaka kupata msaada hizo nguvu wanatoa wapi? They all report to lucifer. UNaweza kudhani unaenda huko kupona kumbe yakaona umefall kwenye trap yao yakatulia in some way yakakuacha umtumikie lucifer kwa njia nyingine tofauti.
Pastor walishindwa