mkamanga original JF-Expert Member Joined Jan 21, 2015 Posts 637 Reaction score 663 Mar 4, 2021 #1 Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na 1.wajumbe wake 2. Ikidi 3. Meza kuu wanakaa watu gani 4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka 5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na 1.wajumbe wake 2. Ikidi 3. Meza kuu wanakaa watu gani 4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka 5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
mkamanga original JF-Expert Member Joined Jan 21, 2015 Posts 637 Reaction score 663 Mar 4, 2021 Thread starter #2 Babati said: Soma miongozo ya utumishi wa umma, kama huna omba kwa Afisa Utumishi wako Click to expand... Na yeye hana,kiongozi kama unao nitumie
Babati said: Soma miongozo ya utumishi wa umma, kama huna omba kwa Afisa Utumishi wako Click to expand... Na yeye hana,kiongozi kama unao nitumie
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 4, 2021 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...