Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda

Keo Chama

Member
Joined
Aug 10, 2019
Posts
23
Reaction score
46
Kwenu wakuu habari zenu

Mimi kijana wa miaka 25

Elimu form six

Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo
Uaminifu ni mkubwa hata ukitaka kupelekwa inapokaa familia yang yaan wazaz na wakanizamin nipo tayar
Mawasiliano 0685176087
 
Kiongozi Mshana Jr njoo umsikilize kijana mwenzangu huyu, uone kama anaweza kusaidika.
 
Tembelea Tawi la UVCCM lililopo karibu nawe ukiwa na kadi ya Chama mkononi jitambulishe jielezee kuna bodaboda za mama mkopo bila riba zimejaa lumbesa
 
Nenda watu Africa wana matawi kibao Dar.....lingine Mwenge vinyago au Tegeta....utakopeshwa yako....ama la subiri matajiri upewe mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…