Nahitaji msaada wa mawazo gharama za kununua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

Mashine za kusaga na kukoboa tunazitengeneza ubungo external
 
Asante kwa maelezo mazuri naomba mawasiliano yako kunajambo nahitaji kukuuliza.
 
Wadau wa Jamii Forum,Habari! Naomba kuuliza wakongwe wa biashara hii ya kusaga unga wa sembe na kupeki kwenye viroba,changamoto kwa sasa ni ipi katika hii biashara maana nnafikiria kuifanya.
Gharama za uendeshaji zikoje na faida yapatikanaje?
 
Mkuu, capacity to ngapi kwa saa
 
Wadau wa Jamii Forum,Habari! Naomba kuuliza wakongwe wa biashara hii ya kusaga unga wa sembe na kupeki kwenye viroba,changamoto kwa sasa ni ipi katika hii biashara maana nnafikiria kuifanya.
Gharama za uendeshaji zikoje na faida yapatikanaje?
Wakuu tunaomba msaada kwa wazoefu hapo
 
Wadau wa Jamii Forum,Habari! Naomba kuuliza wakongwe wa biashara hii ya kusaga unga wa sembe na kupeki kwenye viroba,changamoto kwa sasa ni ipi katika hii biashara maana nnafikiria kuifanya.
Gharama za uendeshaji zikoje na faida yapatikanaje?
Changamoto ni kupata mahindi mazuri kwenye soko na kwa bei nzuri, kama unauwezo wa kwenda kununua mkoani kama dodoma huko itakusaidia kuliko kutumia madalali pale manzese wanalalia sana wale jamaa, pia lazma upate mtaalamu mzuri wa kusaga na kukoboa maana wengine wanajua kulipua tu halafu ukapeleka unga kwa wateja ukawa sio standard, Hii inahitaji usimamizi wa karibu sana, maana kuna kuuza pumba ukiacha watu wanakupiga, oda za viroba lazma utoe siku moja kabla na uwe umelipia kuepusha usumbufu
 
Mkuu vipi ulifanikiwa mradi wako? Naomba kujulishwa kama kuna mabadiliko ya bei ya hizi mashine za kusaga na kukoboa nataka kufunga kwenye umeme wa REA.
 
Nahitaji hiyo cherehani ya kushonea mifuko.

Naomba pia nijue hiko kiwanda wanachotengeneza hiyo mifuko.

Unatumia mizani gani? Na bei yake ipoje?

Naomba mawasiliano yako. Yangu 0714140094
 
Mashine ya sabuni za miche kuanzia million 4
Ikiwa full million 7 tu unaanza uzalishaji
Kuijua zaidi tuone katika website yetu Najidakia Online Store maswali karibu 0762612213 huduma Kwa wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…