Nahitaji msaada wa mawazo gharama za kununua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

Nahitaji msaada wa mawazo gharama za kununua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

karibu ndugu ingia hapa hata kwa techno ndogo itakubali tu ipo responsive sana Najidakia Online Store

Mnapatikana wapi mtu akitaka kuwatembelea ofisini kwenu? Naamini pia utakuwa na uzoefu wa wapi elimu ya utengenezaji wa sabuni kama hizi inakotolewa. Je, vyuo vyetu vya VETA vinatoa ujuzi kama huu!?

Tafadhali share nasi pia kama una deteils za upatikanaji wa mafunzo na process za kufuata kwa mtu anayetaka kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni.
 
Mnapatikana wapi mtu akitaka kuwatembelea ofisini kwenu? Naamini pia utakuwa na uzoefu wa wapi elimu ya utengenezaji wa sabuni kama hizi inakotolewa. Je, vyuo vyetu vya VETA vinatoa ujuzi kama huu!? Tafadhali share nasi pia kama una deteils za upatikanaji wa mafunzo na process za kufuata kwa mtu anayetaka kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni.
kupitia sisi tutakupa mafunzo ya namna ya kutengeneza sabuni namna ya kusajiri katika taasisi kama TBS,TFDA n.k utashauriwa hayo yote ofisi yetu ipo mbezi beach na vingunguti karibu sana swali lolote tuulize namba ya wateja 0659567058
 
Back
Top Bottom