nahitaji msaada wa mawazo wapendwa....

nahitaji msaada wa mawazo wapendwa....

ungeweza, ungelikata uume wake uuweke kwa skirt!"""""""""

kwan na wew huna kidumu????
 
kwani muda wote huu mpo ktk distance.. Wewe hujawah tongozwa na kupata msg kama hzo ktk cm.. Kama ndio then wewe ndo unatatizo.. Jichunguze
 
mimi ninafikiri baada ya kuona msg hizo ulitakiwa kuwaza zaidi juu ya afya yake kama hana HIV na magonjwa mengine ya ngono
mshauri akapime kwanza,sasa kama umenanihii naye tayari la! subiri miezi mitatu ipite ukapime ngoma hapo utaamua vizuri zaidi pamoja na ushauri uliopewa na wanajf.
 
Back
Top Bottom