mimi ninafikiri baada ya kuona msg hizo ulitakiwa kuwaza zaidi juu ya afya yake kama hana HIV na magonjwa mengine ya ngono
mshauri akapime kwanza,sasa kama umenanihii naye tayari la! subiri miezi mitatu ipite ukapime ngoma hapo utaamua vizuri zaidi pamoja na ushauri uliopewa na wanajf.