Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

Pole mkuu sasa unaachwaje na mtu ambae hamkuwahi kuwa wapenzi?

Chelewa chelewa utakuta mwana sio wako.
Jamani Half american mwenzio alishakuwa attached to dada mzuri emotionally, kwahiyo maumivu lazima yawepo kwa kiasi chake.

01savag pole sana! Ila nakupa hongera kwakujikuta umetoka kwenye ile hali yakutokutamani/taka kupenda & kutulia na mtu wako, pia kwakuachana na self-sabotaging behaviour.

Honestly, hamna kitu kizuri kama kupenda na kujisikia kupendwa...so remember hako ka feeling going foward. Kwa sasa hivi rudisha focus kwenye kujiimarisha wewe emotionally, intellectually, physically & financially, wakati unasubiria mpenzi wako amalize kuhangaika hangaika huko aliko, ili akikufikia uwe sahihi kama ambavyo nae (hopefully) atakua sahihi kwako.
 
The sad thing about life is that the most loving, authentic and caring people end up being used. Pole sana ndugu, subira zako zinakuponza, ngoja ngoja unaonekana zoba.

Unatakiwa uwe rude kidogo usioneshe urafiki sana. Women don't like (good boys).
Nakubaliana na paragraph yako ya kwanza, lakini usimdanganye mwenzio. Hamna mtu mwenye akili zake timamu ata-tolerate rudeness. Labda awe na ka-agenda ka siri....
 
Nakubaliana na paragraph yako ya kwanza, lakini usimdanganye mwenzio. Hamna mtu mwenye akili zake timamu ata-tolerate rudeness. Labda awe na ka-agenda ka siri....
Mm naona kilicho mponza hakuonesha rudeness(masculinity)... sio rudeness ya kuforce mtu, ila kuonesha kuwa he's interested in them more than friends. Hii wanawake wanapenda.
 
Alichelewa sana kumueleza namna anavyojisikia au ndio huenda alikuwa bado anavuta subira aone kama ni mtu sahihi kwake.

Kupenda ni raha sana ila kupata mtu unaempenda nayeye akakupenda pia ni raha zaidi, nashukuru Mungu nimewahi kupata raha hizo kwa miaka 4, ilikuwa ni jambo zuri kuwahi kutokea kwenye dunia yangu ya mahusiano.
 
Mm naona kilicho mponza hakuonesha rudeness(masculinity)... sio rudeness ya kuforce mtu, ila kuonesha kuwa he's interested in them more than friends. Hii wanawake wanapenda.
Basi tumia neno assertiveness maana mtu hata akiwa tu pushy ni big turnoff.
 
kama hujawai pitia hii ni ngumu kumuelewa mshikaji alichokiandika ni maumivu juu ya maumivu
 
Basi tumia neno assertiveness maana mtu hata akiwa tu pushy ni big turnoff.
Hapana, mimi kama mtu nliepitia hio circumstance namshauri awe rude, nyie wanawake sio viumbe wa kuonewa huruma. The more una mtreate mwnamke vizuri the more anakuchukulia poa... Make a move and stand on your decisions, hapo ndo heshima itakapo kuja. Bahat mbay demu alikuja mpk geto kabis akalala and he didn’t even fu*k her! After baadae anakuambia kachumbiwa. Asee hii kitu inafikirisha sana au there's something wrong with him!
 
Haya, all the best to the lot of you!👊🏾
 


Tafuta pesa, hawa wanawake hawana maana
 
Huwa tunaingia nusu nusu kwenye mapenzi.

Achana na mademu wanaojipa standard za juu.

Tafuta mtoto Mbichi wa kawaida weka ndani.

Hao matawi piga mbupu halagu kausha kisela. Sio uhuni inaongeza hadhi ya KIUME.


acha kujifanya SHARUKHANI.

inatakiwa utafute demu unaeona anafaa OA. Utampenda mbele ya safari akishazaa watoto wako wawili watatu.

Tumia AKILI zaidi ya hisia.
 
Tatizo lako wewe ni DELUSIONAL. You read so much into details only to make them fit in your scenario and not reality.

Kama uliona movie ya JOKER basi wewe ni kama Joker. Unatengenezea uhalisia wako mwenyewe kwenye akili yako na kuufanya uwe ndio uhalisia wa huyo unaekuwa nae kwa wakati husika.

Nina hakika hao wanawake unaokuwa nao mpaka kuja kuumia huwa wana ishara zinazoonyesha kuwa hawako na wewe kimapenzi ila wewe unaamua kuzipuuza na kuendelea kuishi na uhalisia wako ulioamua kuutengeneza kwenye kichwa chako.

Ni vile tupo nchi za kifukara lakini kiuhalisia una matatizo ya kisaikolojia and you need psychiatric help.
 
NIlikua sina mpango wa kua na mahusiano ila nikajikuta nimeanguka tu kwa huyo bint, ila ndo ivyo maisha yanaendelea
Tafuta demu mpya.

Akizingua tupa vuta ingine weka ndani akileta uhuni tupa kule.

You should ruthless whein it comes to women. Sababu hawanaga akili ila wamejaa mahisia kibao.

Nasisitiza matumizi zaidi ya AKILI na sio HISIA.
 
Nashukuru sana umenipa moyo
 
utoto mwingi
 
tulifanya karibu kila kitu cha kiromantic mpaka mwenyew alikua anasema anapenda ila kwenye sex ikawa hatak, namimi maugomv ya kupambana na mtu kisa sex sikua nayataka.
Niliamin ni mtu anajiheshim sana na anataka nifike kwao kwanza.
Kwaiyo ilikua ni stori, muvi sometime kazi za ofisi tunafanya pamoja usiku,kutoka na marafik ilikua ni experience nzur sana
 
Kuteswa na mapenzi naonaga kama ni rich people problems.

Hivi unawaza upate vipi mtonyo hizo mbanga za mapenzi unazitoa wapi?
 
Nashukuru kwa mchango wenu wote, nimesoma kila comment mara mbil na kuzitafakari. Kwanza mmefanya nione namna navyozikuza hisia, chapili nimepata mawazo mapya mbali na niliyokua nayo mwanzo.
Shukrani sana wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…