Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

Mbona una roho ndogi hivo,utapata magonjwa ya moyo
Rudi kijijini,mjini kuna sampuli mpya zinaingia kila siku utachanganyikiwa
 
Mdogo wangu,tuliza kichwa na ukikua na jinsi mambo unayokutana nayo ndio yanakukomaza kiakili yakabili ili usimame kiume.....usiharibike akili kwasababu ya paka
 
Sidhan kama kulikua na romantic thing going on, maana kama ni hivyo asingepata uhuru wa kukuambia kachumbiwa, hapo labda ww uliweka high expectations kwake, kama mlikua mandate asingefanya ivo... kama unataka relationship lazma uchukue hatua ww mwanaume kama uliona chemistry hukutakiwa kusubiri.
 
Mkuu yan hapo unamaanisha ni kama nilikua najidanganya mwenyewe ?
 
Pole sanaaa, kwa nini uumizwe kiasi hicho, usikubali kupoteza furaha yako nakuipa nafasi stress iingie kwako jamani. Ukiwa na mawazo just call me nitakusaidia kuondoa stress hata kwa ushauri tuu rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…