WanaJF naomba yeyote anaefahamu tiba mbadala ya ugonjwa wa kutokwa na vipele vidogo vyeusi mgongoni anisaidie vinanikera sana sababu mgongo wangu uko kama mpira uliochorwa dot nyeusi haviwashi wala haviumi vipo mgongoni tu mnisaidie jamani na Mungu atawasaidia.