Nahitaji msaada wenu

Nahitaji msaada wenu

gwenivia

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
118
Reaction score
20
WanaJF naomba yeyote anaefahamu tiba mbadala ya ugonjwa wa kutokwa na vipele vidogo vyeusi mgongoni anisaidie vinanikera sana sababu mgongo wangu uko kama mpira uliochorwa dot nyeusi haviwashi wala haviumi vipo mgongoni tu mnisaidie jamani na Mungu atawasaidia.
 
Tumia sabuni moja inaitwa Pearl soap au Herb soap zinatumika kwa magonjwa ya ngozi
 
Back
Top Bottom