Wakuu habari zenu.
Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha.
But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo.
Site ipo Kiabakari - Musoma, ni vema pia kama mhusika atakuwa mkazi wa maeneo hayo.
PM Iko wazi tufanye kazi Kwa Msanifu majengo anekaa maeneo haya