Nahitaji msichana mrembo wa kuoa

Nahitaji msichana mrembo wa kuoa

kevin strootman

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,114
Reaction score
1,872
Mimi ni kijana wa kiume nna miaka 27
Nipo vzur kiuchumi
Sichagui dini/kabila
Asizidi miaka 22
Awe natural asiwe amejichubua
Awepo dar

Baada ya kuumizwa sana nahitaji kuoa
 
Kumbe jf ndio ilivyo, ukihitaji wadada wanakuja mamen, au jf hamna warembo?
 
Back
Top Bottom