PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sio wa dini yake anayoitaka! na wala masharti ya dini siyawezi, lazima nigonge mdudu kila siku na laga
Ohooooo!!!mm sio dini yake [emoji23] akikubali bomani sawa
itabidi ubadili diniKaz kwako tu
[emoji23][emoji23]Ohooooo!!!
Sasa aliekwambia mke anapatikana jamii forums nani?Matumain ya kupata mke nnae mtaka humu 0%,,naona hawajitokeziii,,
Kimboka pale mahali ni hatari sanaok nenda kajaribu pale kimboka
Kwani kuweka bandiko humu kuna kosa gani?Hvi wakuu ndo kusema wasichana hawajilengeshi kwenu hata kidogo mpaka muweke mabandiko hmu? acheni udomo zege wenu kutuaibisha hmu!
Kumbe wewe ni ke mkuu?Mie sio wa dini yake anayoitaka! na wala masharti ya dini siyawezi, lazima nigonge mdudu kila siku na laga
Kwaio wamekwambia ndo utapata mke humu? ila sio mbaya madem huwa wanahuruma na madomo zege kama ww utawapata usijari!Kwani kuweka bandiko humu kuna kosa gani?
Alafu na hii section ya love connect dhamira yake ku ni nini humu JF?
Hujajibu swali nililokuuliza, umebwatuka tu maneno ambayo hayana maana kulingana na swali nililokuuliza!Kwaio wamekwambia ndo utapata mke humu? ila sio mbaya madem huwa wanahuruma na madomo zege kama ww utawapata usijari!