Nahitaji msichana wa kuoa niko serious

Nahitaji msichana wa kuoa niko serious

Hvi wakuu ndo kusema wasichana hawajilengeshi kwenu hata kidogo mpaka muweke mabandiko hmu? acheni udomo zege wenu kutuaibisha hmu!
 
Kwani kuweka bandiko humu kuna kosa gani?

Alafu na hii section ya love connect dhamira yake ku ni nini humu JF?
Kwaio wamekwambia ndo utapata mke humu? ila sio mbaya madem huwa wanahuruma na madomo zege kama ww utawapata usijari!
 
Kwaio wamekwambia ndo utapata mke humu? ila sio mbaya madem huwa wanahuruma na madomo zege kama ww utawapata usijari!
Hujajibu swali nililokuuliza, umebwatuka tu maneno ambayo hayana maana kulingana na swali nililokuuliza!

Nimekuuliza hii segment ya love connect ipo kwa ajiri gani hapa JF?

Pia nipe sababu za msingi zinazokufanya uone mtu hawezi kupata mke humu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ok. Siku ukitoka serious na kuja tz utukumbushe, tutakusaidia kutafuta.
 
Back
Top Bottom