Nahitaji msichana wa kuoa

Aah hii iligi niwaachie wengine ile nakufananisha na huyu mwalimu anaemlazimisha mwanafunzi all the best
Ubabe ktk lipi ndg? Bible ndiyo msingi wangu wa kila kitu, ulitaka nitumie nini?
 
Duh kwa vigezo hivyo nakushauri ukamtafute baa
 
Yaani we uwe na mtoto ila mwenzako hasiwe na mtoto!!! Mbona ubinafsi huo jamani!!!
 
Pole mkuu mleta mada, naona leo single father amekamatwa pabaya. Ni ngumu ww kuwa na mtoto halafu unataka asio na mtoto. Mara nyingi single father huwa anapata single mother then wanaongeza katoto kamoja wanalea watoto wao sasa mleta uzi wa tofauti yani yeye ana mtoto halafu anataka ambaye hana tena mwenye umri mdogo sasa cc wa 27-30 tuoe wa umri gani kama ww una 43 unataka wa 20-28 tena ambao hawana watoto
 
Hivi single mothers na single fathers si wale wale tabia zao zimefanana?
 
Mi mweupe wa kichina[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] bahati mbaya
 
Aisee wewe mbinafsi,una mtoto halafu unabagua mwanamke aliye na mtoto mmh utakua na matatizo kibao ndio maana ndoa ya kwanza ikakushinda.
Amesema anataka kuoa msichana, nadhani anataka housegirl maana haoi mwanamke
 
hapo kwenye ubaguzi inaonyesha una udhaifu na confidence huna... najua hapo kidogo uandike "awe bikra" ha!!!! ha!!!! ha!!!!
 
njoo INBOX TULONGE MWAYA MBENA MWENZIO LABDA TUTAELEWANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…