Nahitaji mtaalam wa mfumo wa kuomba kibali cha mgeni kuishi nchini Tanzania (residential permit)

Nahitaji mtaalam wa mfumo wa kuomba kibali cha mgeni kuishi nchini Tanzania (residential permit)

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari ya jioni wakuu.

Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao.

Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee.

Kama unaweza kutukwamua hapo na tukaipata kwa HARAKA tafadhali nicheki PM ama WhatsApp 0755963775
Shukrani.
 
Bafo nahitaji msaada
 
Natumaini mmeamka salama
 
Residential permit hutolewa na Idara ya uhamiaji baada ya mgeni kupata work permit kutoka Idara ya Kazi na ajira.

Mwajiri ndiye anayepaswa kuwasilisha maombi ya kibali cha kuishi kama mfanyakazi wa kampuni iliyotoa kibali cha kazi.

Mchakato huu haufanyiki mitandaoni, unapaswa kwenda Idara ya uhamiaji kuyajenga.... Kila lakheri Mkuu.
 
Na nyongeza kwa uzoefu wangu, hii residential permit huchakatwa wakati mgeni yupo nchini tayari (binafsi nimewahi kukaa nchi kadhaa na daima nilikuwa napata residential permit nikiwa ndani ya nchi tayari). Kikubwa huyo mtu awe na visa, working permit na valid passport. Mleteni kisha mchakato wa kupata residential permit ndo ufuate. Kila jema
 
Wakuu suala la work permit tayari amekua granted tatizo ni residential permits pekee. Tumekwama hapo tu. Naomba kama unaweza kukwamua na una izoefu wa kutosha na kufanya suala hilo kwa muda mfupi sana njoo tukae mezani ukaitoe
 
Sasa mkuu, hiyo residential permit utaipataje bila kwenda uhamiaji ? Ulivyoshauriwa hapo juu ndio utaratibu ulivyo, vinginevyo unataka njia za panya kama wafanyavyo wahindi kariakoo na Pugu road? 😳
 
Back
Top Bottom