Residential permit hutolewa na Idara ya uhamiaji baada ya mgeni kupata work permit kutoka Idara ya Kazi na ajira.
Mwajiri ndiye anayepaswa kuwasilisha maombi ya kibali cha kuishi kama mfanyakazi wa kampuni iliyotoa kibali cha kazi.
Mchakato huu haufanyiki mitandaoni, unapaswa kwenda Idara ya uhamiaji kuyajenga.... Kila lakheri Mkuu.
Sasa mkuu, hiyo residential permit utaipataje bila kwenda uhamiaji ? Ulivyoshauriwa hapo juu ndio utaratibu ulivyo, vinginevyo unataka njia za panya kama wafanyavyo wahindi kariakoo na Pugu road? 😳Wakuu suala la work permit tayari amekua granted tatizo ni residential permits pekee. Tumekwama hapo tu. Naomba kama unaweza kukwamua na una izoefu wa kutosha na kufanya suala hilo kwa muda mfupi sana njoo tukae mezani ukaitoe